Nime download meta trade 4, nawezaje kutumia demo account ili niifahamu Forex?

Joined
Apr 17, 2017
Posts
11
Reaction score
3
Habari Jf members, samahani naomba kupata elimu jinsi ya kutumia demo account kwenye Forex, napenda kujua jinsi ya kununua na kuuza fedha za kigeni na meta trade 4 na demo account nimeisha fungua ila hapo sasa jinsi ya kuitumia ndo bado sijaelewa kwa mambo tawa hapo juu, naomba msaada katika hili.
Jf-forever
 
Kutumia mt4 sio kazi kubwa sana, kwa mara ya kwanza inachanganya ila ukisaidiwa unawez kutumia vizur tuu... Lakini, kutumia mt4 sio kujua forex, watu wanachanganya sana hiyo kitu!
 
Unaweza kunifata DM kwa maelezo zaidi
 
Hii kitu kwa theory huwezi kuijua kama u mvivu kwa kusoma na kupractice. na ukitaka mtu akueleweshe ujue lazima uwe umesoma kwanza upate mwanga otherwise utapoteza muda na kutojua jinsi ya kufanya mwisho wa siku utakata tamaa. Soma, elewa fanya practice. Ontario na wengine wengi wamewaambia someni kwanza ila ukiiingiwa na tamaa ya kusoma utaona manyota tuu yanapanda na kushuka.

Nipo na trade via demo, msuli yatima huku nasoma hapa na pale na kusubiri darasa la mkuu Ontario.


Subira ndio silaha ya mafanikio yako katika hii biashara ya Forex.
 
What's leverage mtoa mada?

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
 
Fuata maelezo ya mbetishaji (meta trade 4). Nadhani unatakiwa uitumie siku za kazi wakati wanaweza kuload taarifa za soko za siku hiyo...
Hapo utakacho takiwa ni kutega mingo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Yani mfano wewe una dola elfu mia moja ambazo ulizinunua kwa Exch rate ya 0.86Euro/USD, That means inatakiwa uuze zaidi ya .86 Euro/USD ili uweze kutengeneza faida. So anything above that .86Euro/USD is a profit to you...
The problem comes that the profit to make is usually very very small and its called PIPS...
That is .8622. The 0.0022 is the pip.
If you put your stake in terms of one hundred thousand of USD, that means you can still get the profit of .0022X100,000=220Euros. That is you get more Euros (220 more) for the same 100,000 USD than what you paid for.
Kwa hiyo kwa Euro laki moja unapata faida ya Euro 220. So ukirudia mzunguko kama huu mara tano kwa siku una dola elfu moja na ushehe ambao ni sawa na sh milioni mbili za kitanzania, na kwa mwezi ni zaidi ya milioni sitini...
So, ukishajua mahesabu hayo hapo juu, inatakiwa ujaze 'fomu' ya kwenye hiyo template.
Utaweka stake yako hapo say USD laki moja.
Utaweka stop loss yako hapo yani hii ni bei ya chini ambayo haitakiwi ishuke la sivyo utapata hasara.

Utaweka bid/ ask price yako hapo ikiwa unataka kununua au kuuza.

Then una enter mchezo unaanza.

Sasa hapo kwenye ile graph kuna sehemu za kijani kijani ambapo ndipo point ambazo unatakiwa u execute your transaction... Uki execute nje ya hizo points utaliwa. So inabidi uwe na uelewa na hiyo michezo. Nitatafuta link ya youtube nikupe umcheki jamaa mmoja kajitahidi kutoa semina...

Unajua kiingereza lakini au napoteza muda kukuwekea links hapa?

 
Natamani kukuelekeza ila sijui hata nianzie wapi!
Kwani mkuu haujasoma kitabu chochote kinachohusu forex?
Ama youtube tutorialsa?
Anyways hebu andika ulichouliza hapa kwenye google utapata maelezo mubashara

love thΓ© love or hΓ’te thΓ© love.....
 
Reactions: MC7
Hooo
Asante sana tena sana, umenisaidia sana ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…