Fuata maelezo ya mbetishaji (meta trade 4). Nadhani unatakiwa uitumie siku za kazi wakati wanaweza kuload taarifa za soko za siku hiyo...
Hapo utakacho takiwa ni kutega mingo 😀😀😀.
Yani mfano wewe una dola elfu mia moja ambazo ulizinunua kwa Exch rate ya 0.86Euro/USD, That means inatakiwa uuze zaidi ya .86 Euro/USD ili uweze kutengeneza faida. So anything above that .86Euro/USD is a profit to you...
The problem comes that the profit to make is usually very very small and its called PIPS...
That is .8622. The 0.0022 is the pip.
If you put your stake in terms of one hundred thousand of USD, that means you can still get the profit of .0022X100,000=220Euros. That is you get more Euros (220 more) for the same 100,000 USD than what you paid for.
Kwa hiyo kwa Euro laki moja unapata faida ya Euro 220. So ukirudia mzunguko kama huu mara tano kwa siku una dola elfu moja na ushehe ambao ni sawa na sh milioni mbili za kitanzania, na kwa mwezi ni zaidi ya milioni sitini...
So, ukishajua mahesabu hayo hapo juu, inatakiwa ujaze 'fomu' ya kwenye hiyo template.
Utaweka stake yako hapo say USD laki moja.
Utaweka stop loss yako hapo yani hii ni bei ya chini ambayo haitakiwi ishuke la sivyo utapata hasara.
Utaweka bid/ ask price yako hapo ikiwa unataka kununua au kuuza.
Then una enter mchezo unaanza.
Sasa hapo kwenye ile graph kuna sehemu za kijani kijani ambapo ndipo point ambazo unatakiwa u execute your transaction... Uki execute nje ya hizo points utaliwa. So inabidi uwe na uelewa na hiyo michezo. Nitatafuta link ya youtube nikupe umcheki jamaa mmoja kajitahidi kutoa semina...
Unajua kiingereza lakini au napoteza muda kukuwekea links hapa?