PoleKatika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall inlove na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja.
Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti JF kaishajitoa na mpaka namba za simu kabadilisha! Ni pale unapomkosa mtu katika maisha yako ndio unatambua umuhimu wake.
My future wife please rudi.
Asante kushkuruPole sana.
Asantepole
Kama mamtoni,kama mambeleeππ unyama sana
πAjitoe KWA sababu YAKO sio kweli Jaman
No lie she said she never seen a guy like me beforeππAjitoe KWA sababu YAKO sio kweli Jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ukaamini?πno lie she said she never seen a guy like me beforeππ
Kila la kheri la hilo πwapo wengi ..!πNgoja intelijensia ikae mkao, ni mwanamke gani alikuwa active kisha kapotea[emoji39]
NDIO.Hakuna sababu ya kuacha kuamini!πNa ukaamini?π
Ndivyo ulivyo danganywa hivyo [emoji849][emoji849][emoji849] masikin weee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]no lie she said she never seen a guy like me beforeππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea nimecheka mno, addiction km addiction uwiiiiiiihUsiseme kajitoa JF, unadhani addiction ya JF ni ndogo namna hiyo?
Hapo kabadili ID....uzi wako huu utamfikia
Pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu kumeza hii lolHadi mchuchu kufanya hivyo, kuna dalili za kuwa ama kwenye serious relationship nyingine au kaolewa kabisa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti dea UwiiiiiiNa ukaamini?[emoji23]