Nime-fall in love huku JF...

Nime-fall in love huku JF...

Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall inlove na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja.

Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti JF kaishajitoa na mpaka namba za simu kabadilisha! Ni pale unapomkosa mtu katika maisha yako ndio unatambua umuhimu wake.

My future wife please rudi.
Pole
 
😎Ajitoe KWA sababu YAKO sio kweli Jaman
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Ajitoe KWA sababu YAKO sio kweli Jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No lie she said she never seen a guy like me before😎😎
 
Back
Top Bottom