Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi nimemiss ruby!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu ndo kabisa mda sana sijamuona.Miss sana Masai dada.
Masai dada atakuwa aliolewa aisei afu jamaa likampiga ban..!Yaani huyu ndo kabisa mda sana sijamuona.
It feels so good unapokutana na Old Ids.
Mfano nikimuona snowhite na gfsonwin SHERRIF ARPAIO Don Mangi na wengine wa long time nafurahigi sana.
Miss chaga alikua poa sana.Yaani huyu ndo kabisa mda sana sijamuona.
It feels so good unapokutana na Old Ids.
Mfano nikimuona snowhite na gfsonwin SHERRIF ARPAIO Don Mangi na wengine wa long time nafurahigi sana.
Watu kama hawa wanamchango mkubwa sana,ila kuna watu awawezi kuliona hilo.She's so real. Kama Evelyn Salt .
Mtafute basi utuletee,lile jembe maeneo haya siunaelewa,umetufukuzia burudani yetu.Vimenisaidia sanaaaa.......!¡!!
Wewe ni MWANAUME, like.Mkuu una tabia moja mbaya sana...
Hii ni tabia ya boys,men can never be like this!
Mzee ungepewa k.uma aisee si ingekua matatizo?
Mwanaume jifunze kua kimya na msiri,yeye kukupa jina,namba na picha ni highest level of respect kakupa,ila ulivyojuha mpaka sasa hivi you talk like this proudly like a lunatic!
What a waste of a baby man!
Masai dada yupo,last week nilimuita kwenye thd fulani akaja,so yupo poa kabisa ondoa shaka.Yaani huyu ndo kabisa mda sana sijamuona.
It feels so good unapokutana na Old Ids.
Mfano nikimuona snowhite na gfsonwin SHERRIF ARPAIO Don Mangi na wengine wa long time nafurahigi sana.
Vizuri. Ngoja na mimi nimuite.Masai dada yupo,last week nilimuita kwenye thd fulani akaja,so yupo poa kabisa ondoa shaka.
Nimekupenda bureMkuu una tabia moja mbaya sana...
Hii ni tabia ya boys,men can never be like this!
Mzee ungepewa k.uma aisee si ingekua matatizo?
Mwanaume jifunze kua kimya na msiri,yeye kukupa jina,namba na picha ni highest level of respect kakupa,ila ulivyojuha mpaka sasa hivi you talk like this proudly like a lunatic!
What a waste of a baby man!
Hii bahati na mimi itaniangukia lini?😵Nimekupenda bure
Hahahahaa.. Wewe IPO Siku zote mbona? Hujawahi kujua Kama nakukubali au unataka niandike kabisa?Hii bahati na mimi itaniangukia lini?😵
Kunikubali kwa hisia kunanitosha kabisa,Hahahahaa.. Wewe IPO Siku zote mbona? Hujawahi kujua Kama nakukubali au unataka niandike kabisa?
Hahahahaa.. Wewe IPO Siku zote mbona? Hujawahi kujua Kama nakukubali au unataka niandike kabisa?
Wewe ungepewa nyapu nahisi ungetangaza kwenye vyombo vyote vya habari...Number yake nnayo na picha yake nnayo,nilicheza na saikolojia yake kidogo tu maana nilikuwa nayajua madhaifu yake,alivyoona nimepata picha yake akabadili ID hahaaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kucheza na akili ya mwanamke Ni kitu kidogo sana
Basi yaishe booBado wewe mpaka nikupige pin akili zitakurudia.
Unafikiri humu watu hawana picha au namba za hao wadada??Number yake nnayo na picha yake nnayo,nilicheza na saikolojia yake kidogo tu maana nilikuwa nayajua madhaifu yake,alivyoona nimepata picha yake akabadili ID hahaaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kucheza na akili ya mwanamke Ni kitu kidogo sana