Nime mmiss miss chaga

Hahaaaaaaa!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tunapoelekea nitaiweka na picha yake humu ndani...endeleeni kunitibua tu
 
Usiropoke vitu usivyovijua,idiot!! Una uhakika nilimtongoza au unaropoka tu baada ya kula kande zako
 
Usiropoke vitu usivyovijua,idiot!! Una uhakika nilimtongoza au unaropoka tu baada ya kula kande zako

Hahahaaaa

Im loving this...unakasirika nini?You have perfect female traits!

Mwanaume gani anatukana "idiot" katika weak tone like that?You are just weaker male version...

Kutokana na maelezo yako "umemtongoza" mpaka kakupa identity yake in full..Hata kama hujamtongoza,identity yake ni identity yake,as a male unatakiwa ui-protect..Ulivyo hovyo na mpumbavu hiyo kazi imekushinda...What a woman you are trapped in a male's body?

Such a weak male mpaka unakuja tangaza personal conversations zako na females wako kwenye sehemu ya wazi namna hii...Only weaker males do this....

You are such weak and soft like baby's bottoms...
 
Umemalizaaa
 
Kwa pumba ulizoongea hapo Bora niwe weak male kuliko kuwa na pigo za kike kama wewe
 
Kwa pumba ulizoongea hapo Bora niwe weak male kuliko kuwa na pigo za kike kama wewe

Mimi na wewe nani ana tabia za kike?

Watu wapige kura humu uone!

Mwanamme ndie wakuja kutoa siri za madem zake anaowapata?Kama ni hivyo nyie mtakua breed fulani hivi wenye vidudu vyote!

Such a weaker male!

Tabia za weaker males ni za kushambulia wanawake ili waji-feel vizuri kama wewe ulivyofanya kwa MIss Chagga.....

Such a stupid beta male,woman clone of yourself!What a waste!
 
Hivi aliyekwambia Mimi nimemtongoza miss chaga Ni Nani??? Ndo maana nasisitiza wewe una pigo za kike
 
Hivi aliyekwambia Mimi nimemtongoza miss chaga Ni Nani??? Ndo maana nasisitiza wewe una pigo za kike

Wewe ndio una pigo za "kiume" kuja kutangaza wanawake wako humu!???Geeez
What a hypocrite!

Umtongoze usimtongoze yanini kuja kumsema humu wewe "mwanaume wa Dar"?
Bure kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…