nime overdose msaada jamani

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
habarini wakuu,
siku 3 nyuma nilienda hospital kupima nikakutwa na typhod na malaria 9. Sasa dr akaniandikia metakeflin na cypro mg 500.
Metakeflen nimemeza vyema lakini cypro nimemeza vidonge viwili asubuhi na viwili mchana leo siku ya tatu sasa kuna best angu kaja hapa ndo ananishtua kuwa nime overdose hata sijui cha kufanya nishaurini plz.
Mwili uko poa zaidi najiskia kuchoka tu na kuna time tumbo linachafuka
 
kunywa maji mengi tu antbiotics haina noma sana na hua inategemea uzito ulio nao
 
Ooohh pole MKUU Mani kwa wing I punguza rate yakusukuma mzigo kwa afyayako aijaliship no was ndoa
 
asanteni wadau manake kabla sijajua kama nime overdose nlikua normal tu eti baada ya kushtukia chezo ndo naanza kujihisi vibaya kweli hofu kitu kibaya sana
 
asanteni wadau manake kabla sijajua kama nime overdose nlikua normal tu eti baada ya kushtukia chezo ndo naanza kujihisi vibaya kweli hofu kitu kibaya sana

kunywa maji ya kutosha, ondoa hofu
 
usihofu mkuu antibiotic haina noma wewe endelea na dozi yako ya siku tano 500mg kidonge kimoja na inabidi hizo uendelee kutumia until mpaka hizo siku tano ziishe umeze na panadol na maji mengi ili kuongeza excretion ya hizo dawä
 
nusu kaputi unazingua, tangu lini typhoid tunatibu kwa siku tano? panadol pia vipi?
 
Yanapunguza makali ya dawa,sumu mm kuna brother wangu mmoja alijiskia homa hakwenda hospitali akajimezea dawa za malaria kumbe hata hana hata mdudu mmoja, dawa zikawa zinampelekesha hata kwenda hawezi alipopelekwa hospitali kupimwa hana malaria dokta akamwambia sina dawa yakukupa ila tafuta madafu kunywa maji yake ikamsaidia kurudi ktk hali yake
 
nusu kaputi unazingua, tangu lini typhoid tunatibu kwa siku tano? panadol pia vipi?

mkuyati Amnesia nayo imeanza kunitembelea typhoid mnatibu nafikiri cipro ni 500 mg 12 hourly kwa siku 10 ...Narudia kwa ushauri wangu kwa kutumia unganga wangu nilioachiwa na babu
1.rudi hospitari maana overdose ya cipro inatabia ya kusababisha sumu kwenye mfumo wa mkojo yaani renal toxicity....lakini mpaka utumiea amounti nyingi
maana ya kwenda hosp kwa ajili yakupima renal toxicity au renal function test
2.kunywa maji mengi kwa maana ya excrete kuondoa kupunguza sumu hiyo
3.aluminium au magnesium zinasaidia kupunguza absorptipn ya hizo cipro hatimaye kuzui toxicity ya figo lakini usitumie bila ushauri au kuonana na dactari
4.Palnadol ni kwa ajili ya kupunguza homa na maumivu yanayokuwa associate na pathological ya ugonjwa na dawa
5.fanya haraka rudi hospitali iwezekanavyo
NUSU KAPUTI
TRADITIONAL MEDICINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…