Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
habarini wakuu,
siku 3 nyuma nilienda hospital kupima nikakutwa na typhod na malaria 9. Sasa dr akaniandikia metakeflin na cypro mg 500.
Metakeflen nimemeza vyema lakini cypro nimemeza vidonge viwili asubuhi na viwili mchana leo siku ya tatu sasa kuna best angu kaja hapa ndo ananishtua kuwa nime overdose hata sijui cha kufanya nishaurini plz.
Mwili uko poa zaidi najiskia kuchoka tu na kuna time tumbo linachafuka