Nime process Mkopo mkagoma, TOPUP zimegoma huu mwaka?

Nime process Mkopo mkagoma, TOPUP zimegoma huu mwaka?

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
787
Reaction score
1,394
Mimi ni mjasiriamali.
1000089149.jpg

Nimekopa benki 4 kwa kawaida Nina kipato Cha mil 2.5 kwa mwezi, hiki kias huingia kwa guarantee ya si chini ya 2.5m huingia japo inaweza kuzidi kulingana na biashara zangu. Benki nne zimeniamni na zimenikopesha na kunikata kias kubalika kila mwezi na haijawahi niletea shida.
1000089151.jpg

Nimejijengea discipline kuhakikisha kias hicho kinakuwe kwa akaunti.

Leo ninashida ya million kadhaa benki rafiki zimegoma kunitopiaup.

Hii hali na aibu naenda kwa nani
 
Back
Top Bottom