Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wataalam wa UTT
nipo acc ya ukwasi

Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki.

Hadi napata wasiwasi
 
Mdau wa pili naona analalamika kuwa kutoa hela account ya ukwasi inachukua zaidi ya week, na sio siku tatu tena kama walivyoeleza kwenye web yao
Mbaya zaidi hawaja update haya mabadiliko kwenye web yao
 
Back
Top Bottom