Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Kwan ni had apatikane mteja si hela tu hiyo si kwamba had apatikane wa kununua hapanaHizo taka taka hazina value, nani anunue..
Sasa bila mnunuzi pesa inatoka wapi? Kwanini waite vipande na sio pesa?Kwan ni had apatikane mteja si hela tu hiyo si kwamba had apatikane wa kununua hapana
Ukute hauna cha kuwekeza ndio maana unaona hivyo😄Wavivu ndio mnawekeza kwenye huo uchafu
AiseeMimi niko U Moja Fund niliomba kuuza vipande Jumatatu, Jana Alhamis jioni mpunga umeingia
ndo nataka nijue kwann au ni bahati na sibu maana maelezo yao hela ni siku mbili au tatu za kaziHela yako itaingia leo mkuu acha wenge
una namba zaoItakuwa changamoto ya kiufundi. Unaweza kuongea na wahusika kwanza kabla hujaongea na sisi.
Wahusika wanamsaada mkubwa kuliko mitandao ya kijamii
Siku 3 mpaka 5 za kazindo nataka nijue kwann au ni bahati na sibu maana maelezo yao hela ni siku mbili au tatu za kazi
sasa jumatatu hadi ijumaa
Ukweli mtupuUkute hauna cha kuwekeza ndio maana unaona hivyo😄
bull shitSiku 3 mpaka 5 za kazi