Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Uliliwa.Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema itβs fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mm nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mm nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga, nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Una mume au mpenzi?Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema itβs fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mm nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mm nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga, nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
tena ilikuwa ikichomoka yeye ndo alikuwa anawahi kujiingiziaUliliwa.
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini
embu elezea kinagaubaga πWanaume washenzi sana siyo wa kuwaamini, mimi siwezi kusahau kaka yangu alivyotaka kunibaka. Siku nyingine usirudie kumuamini mwanaume.