Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

Waliooa watumishi ndo wajue kua wakazini anaichapa na yeye akirudi nyimbani anaichapa au anaambiwa nimechoka.
 
Wewe ni Ke au Me?
 
Utelezi ndo unaanzisha mpaka uzi huku. Tulikubaliana utelezi haunyimwi
 
Tafsiri yake ni kwamba mpaka kufka kukubali kulala room moja umelikubari kuliwa..
Sema jamaa hakukaza tu akawahi kuomba msamaha, ulimkazia tu kishngo upande asijione amekula tunda kimasihara.

Ujue me na ke huwa hamnaga urafki na hasi na chanya zikigusana lazima cheche.
hao pacha tangu lini wakawekwa pamoja na wakatulia?

hata ningekua mim nisingevumilia ningekinukisha.

ata ivo jamaa amejitahdi kuonesha uanaume make ungemdharau tena kua hajakamilika.
mlivo hamwelewek wanawake.

jamaa alifel hapo kweny mbinu angekuandaa mapema na si mda wa kulala, ikakufanya ujue mchezo wake.

mwisho usimnunie ila uwe na mipaka nae.
hapo ukicheza vibaya hapo mbeleni atakuja kula tunda kimasihara.
 
Kuomba ni feeling au tamaa tu za mtu,
It's all starts with mindset,kuomba na kutaka kubaka ni vitu viwili tofauti,unaweza kuomba kabla ila usichukulie advantage kisa upo nae chumbani,pia unatakiwa kuheshimu maamuzi yake.
Sasa wanaume mlio wengi mkishakuwa chumbani na mwanamke mnaweka uhakika wa kumla na hadi kutaka kulazimisha. Hiyo ndiyo shida yenu
 
Aliyechukua namba hajakutafuta ??

Siwezi share room na ke, labda ndugu yangu Ila wengine siwezi na heshima iwepo,

Maake nisipokukula utasema ooh Sina nguvu za kiume, mara kibamia

Nikiforce utasema nakubaka, mara sina adabu,

Lala na ke wenzio au kesha bar ukipata Heineken 4 safii za barrriidi
 
Duh 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…