The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mwanaume kujaribuHivi kwanini mnakuwaga washenzi hivi?
Room ya hotel ili kupunguza cost??Inamaana walishea rum.
Na hapo asingeshikwa hako katako kake angesema nililala nae hajanishika hata tako,,Matatizo mengine yakujitakia kabisa
utoto rahaKuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Kaka yako wa damu?Wanaume washenzi sana siyo wa kuwaamini, mimi siwezi kusahau kaka yangu alivyotaka kunibaka. Siku nyingine usirudie kumuamini mwanaume.
YeahRoom ya hotel ili kupunguza cost??
Sio chai huyo katangaza kuliwa kirahisi kafurahi sana maana kampelekea muhuni wachukue room moja..
Basi sawa!!Yeah
Kaka yako wa vipi maana ninyi kwa uongo huwa hamueleweki hata kidogo.Wanaume washenzi sana siyo wa kuwaamini, mimi siwezi kusahau kaka yangu alivyotaka kunibaka. Siku nyingine usirudie kumuamini mwanaume.
Ujinga mtupu, unaleta utoto humu kwenye jukwaa la watu wazima?Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Huyu hata sehemu za siri hanaUna mume au mpenzi?