Umsumbalembe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 944
- 871
Duh! Huyo rafiki yako atakuwa Fisi mla nyasi!Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Unajuaga kutag ID za ajabu 🤣Na wewe umeamini hii Chai Maziwa
Huyo jamaa yako atakuwa ana mkono wa mtoto au kibamia nawewe inawezekana una maumbile ambayo hayaendani nae mfano Kibamia na Bwawa!Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Acha unafiki. Kwamba wewe ungekuwa hapo chumbani angekupa ungekataa kwasababu we ni gentleman?😂😂😂. Mtizame acha U'simp.Hao sio wanaume,ni wavulana,unatakiwa kuijua hiyo tofauti iliyopo.
Ok niliisoma iyo storyHapana mkuu, nilikuwa bado mdogo nakumbuka ilikuwa form 2, ilikuwa nikitoka shule ndiyo napitia kumsalimia au weekend naenda na sikuwa navaa nguo za mitego
Rubbish.Acha unafiki. Kwamba wewe ungekuwa hapo chumbani angekupa ungekataa kwasababu we ni gentleman?😂😂😂. Mtizame acha U'simp.
Duh...Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Ungempa tu kidude hicho ...(utani tu lakini)😂😂😂Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,
Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,
Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.
Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha
Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
Una tabia mbaya dada.Una roho ya uzinzi? ni vile ulijua jamaa atasema analipa yeye chumba ili wewe usave.Uliposhituka kwamba ni kweli mnashea kulipa chumba ukageuza mpangoKuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,