Nime wamiss sana wanaume wa humu

Nime wamiss sana wanaume wa humu

Mhhhh, Watanga nyie kwa mapishi tu Mashaallah, hayo makopa ya nazi yakoje hayo😛
Hahaaaa. Ngoja nikuandalie namna ya kuyapika kisha nikuletee Sesten.

Hivyo huyajui haya. Kule naniliu ee kule kwa kina Kush kulee [emoji12] [emoji12] huwa ikifika asubuhi sokoni yamejaa tele yanauzwa.
 
Hahaaaa. Ngoja nikuandalie namna ya kuyapika kisha nikuletee Sesten.

Hivyo huyajui haya. Kule naniliu ee kule kwa kina Kush kulee [emoji12] [emoji12] huwa ikifika asubuhi sokoni yamejaa tele yanauzwa.
Utafanya nifunge safari ya kule nikajionee mwenyewe ujue, maana sikumbuki kuona hii menu kabisaa! Au sijui mapishi wanayo mengi mpaka nikachanganyikiwa

Haya nasubiria uniletee nionje, si ndio wakuna nazi hapo saivi Hajar?🙂😉😛
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hivyo bila kupiga vyombo huchangamki eee.

Sa sijui itakuwaje kwa kweli sababu Hajar na hivyo Vyombo ni kama maji na mafuta. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You dont know what you are missing Hajar🙂😉😛
 
Hahahaa. Umeona sasa umepata kunirekebisha sababu na Uzee wangu wote huu [emoji12] [emoji12] mie huwa naita Kibanda meno kumbe ni kibanga meno.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Eti 'Na Uzee wangu"..... Kwa uzee upi ulionao wee mtoto wa Kitanga?
 
Back
Top Bottom