Sesten Zakazaka njoo niombee msamaha huku. Mdogo wangu kanuna hapa.akuuu nimenuna haswaa tena[emoji15]
Mambo ya muhogo wa kivunde hayoπJaamaani. Kumbe umenuna lol. Poleeee
Basi ntaenda tena mwezi wa 12 kisha ntakuja nayo tena. [emoji85] [emoji85]
Hahahaaa. Lol.Mambo ya muhogo wa kivunde hayoπ
Ngoja nije tumuimbie kuch kuch hotahee atatulia ila yale uliyotwanga juzi si umpe kidogo mdogo wako? Kizuri kula na nduguyo ujueSesten Zakazaka njoo niombee msamaha huku. Mdogo wangu kanuna hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Naja naja.Ngoja nije tumuimbie kuch kuch hotahee atatulia ila yale uliyotwanga juzi si umpe kidogo mdogo wako? Kizuri kula na nduguyo ujue
Mhhhh, Watanga nyie kwa mapishi tu Mashaallah, hayo makopa ya nazi yakoje hayoπHahahaaa. Naja naja.
Yeye asemea yale Makopa yanayopikwa kwa kuungwa na nazi. [emoji12]
Wakikutokea unakimbia ama unasababu lukuki ebu waache wapambane na hali zao[emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125]nime wamis sana wanaume wa hum sjui kwanini
nime mis uchangamfu wenu.
Hahaaaa. Ngoja nikuandalie namna ya kuyapika kisha nikuletee Sesten.Mhhhh, Watanga nyie kwa mapishi tu Mashaallah, hayo makopa ya nazi yakoje hayoπ
Utafanya nifunge safari ya kule nikajionee mwenyewe ujue, maana sikumbuki kuona hii menu kabisaa! Au sijui mapishi wanayo mengi mpaka nikachanganyikiwaHahaaaa. Ngoja nikuandalie namna ya kuyapika kisha nikuletee Sesten.
Hivyo huyajui haya. Kule naniliu ee kule kwa kina Kush kulee [emoji12] [emoji12] huwa ikifika asubuhi sokoni yamejaa tele yanauzwa.
You dont know what you are missing Hajarπππ[emoji2] [emoji2] [emoji2] hivyo bila kupiga vyombo huchangamki eee.
Sa sijui itakuwaje kwa kweli sababu Hajar na hivyo Vyombo ni kama maji na mafuta. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kibanga meno bana Hajar sio kibanda menoππHahahaaa. Lol.
Umeonaeee au ule Kibanda meno sijui nimepatia hilo neno. [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti eeee.You dont know what you are missing Hajarπππ
Hahahaa. Umeona sasa umepata kunirekebisha sababu na Uzee wangu wote huu [emoji12] [emoji12] mie huwa naita Kibanda meno kumbe ni kibanga meno.Ni kibanga meno bana Hajar sio kibanda menoππ
Lakini nisikufundishe tabia mbaya mtoto wa kiislam ukaanza mambo ya kupiga vyombo. Yaani usijaribu kabisaa Hajar, hakuna chochote cha ku miss katika vyombo, umenisikia eeh Hajar?[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti eeee.
Eti 'Na Uzee wangu"..... Kwa uzee upi ulionao wee mtoto wa Kitanga?Hahahaa. Umeona sasa umepata kunirekebisha sababu na Uzee wangu wote huu [emoji12] [emoji12] mie huwa naita Kibanda meno kumbe ni kibanga meno.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]