Nime wamiss sana wanaume wa humu

Rafiki namtafuta dada yangu mpendwa wa Jf geniveros,umemuona wapi please?[emoji53][emoji53][emoji53]
Kwao malapaa!!
Rafiki Huyo dada yangu huyo geniveros nampenda hadi naumwa![emoji53][emoji53][emoji53]
Muulize shunie
Rafiki Shunie hata hanipendi aliniambia hayanihusu,nateseka,nammiss dada yangu mpendwa geniverose[emoji53][emoji53][emoji53]
Hana churaa
Dada yangu awe na chura ya nini sasa??!....Rafiki una kichaa?![emoji32][emoji32][emoji32]
Pale ambapo mtu anaanza kukana kuwa hapendi chura[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…