Nimeacha kuishabikia Arsenal

Huyu Unai Emery kocha wa hovyo sana hawezi kuifikisha hii timu popote bora mara 100 wampe hata Mwinyi Zahera
 
Ushabiki ni uteja wakiwango cha juu zaid ukishaingia huko kutoka ni habar nyingine utasema tu sishangilii tena ila wanapofungwa unaumia vibaya mnoo na unaweza pata matatizo makubwa kwakuwa unaumia ndani kwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…