Nimeacha kuishabikia Arsenal

Safi sana mkuu, uliona mbali sana
 
upo sahihi, management inamuangusha, pesa kidogo halafu wanataka matokeo makubwa kwa kusajili kina david luis, mateo, ujinga mtupu
Watabadilisha makocha mpaka watawamaliza wote, kwanza wengine hawataki maana wataharibu CV zao, Arsenal hakuna quality players sio issue ya kocha
 
Sasa ivi umeamia timu gani mkuu, maana Man u nayo ss iv ni gonjwa la moyo.
 
Wamepigwa wakiwa nyumbani kwao Emirates!
Hiyo timu imeshakuwa kama Ndanda ya EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…