Secret genius
Member
- May 3, 2020
- 56
- 36
Jamani muacheni arsenal sio ukoo huo kwamba asihame,mwacheni aje kwenye raha huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 👆Hiyo timu ni kikundi tu cha wahuni
Kunatimu kubwa naamini hawatachukua epl kwa miaka ishirini na tano tokea wachukue mara ya mwisho.
1. Arsenal huu ni mwaka wa 16 unaelekea
2. Man u huu ni mwaka wa 7 km sijakosea.
Hizi timu mbili zinaweza kuja kukarbia historia iliyowakuta liverpool
30Liverpool ni miaka mingapi??
Nenda kaombee sasa[emoji3]Goal la Greenwood unaweza kuombea mkopo
Ndiyo maana nimekataa kukugongea L
IKE.....You just soft
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 16th April 2012
Location : HAPA NILIPO
Posts : 431
Rep Power : 511
Likes Received130
Likes Given12
[h=2]Re: Nimeacha kuishabikia Arsenal[/h]![]()
Suala la mtu kuhama kushabikia from timu moja hadi nyingine kwa kweli mi haliniingii akilini and I get puzzed how can one dare to do that...!Si kwamba sisi mashabiki wa Simba tunapenda mwenendo wa timu yetu, lakini tulianza kushabikia tukiwa na sababu tofautitofauti ambazo leo hii mtu akwambie hamia Yanga eti kwa sababu inamwenendo mzuri kwenye VPL sijui kama utaweza.Vilevile, siamini kama inawezekana mtu uliyependa kushabikia say Arsenal, leo hii unaweza kwa urahisi kabisa Man U, au Totenham...! Siamini, labda kama ungesajiliwa kuchezea from one team to another lakini siyo kushabikia.Ninachokiamini mimi ni kuwa: Ni rahisi kuacha upenzi wa chama cha Siasa ukahamia kingine (kwa sababu nyingi tu), au kuacha kumpenda demu uliye naye ukampenda mwingine lakini si rahisi kuhama kushabikia club yeyote ukahamia nyingine eti kisa inashinda sana...! :smile-big: sasa Rage na Wenger wanatofauti kimafanikio?