Nimeacha kuishabikia Arsenal



Hii laana itawatafuna balaa.
 
Ni miaka nane sasa uzi unaendelea kuishi
 
Haya mambo huanza kama utani halafu baadae hugeuka laana, bora ningefuata wazo la mleta mada sasa hivi ningekuwa na amani ya moyo.
 
Yaani ndio timu kubwa iliyoanza ligi kwa kupigwa, wenzake wote wameshinda.
 
Next, Man united vs Arsenal, play your cards right.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…