Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Lol!!! Kwi kwi kwi kwi jibu swali bhanaa acha kuruka ruka huku na kule.

Usikimbilie mambo ya mwaka jana ongea mambo ya sasa hivi Arsenal ipo nasi ya ngapi na Man ipo nafasi ya ngapi.
 
Hahahahahaha lol!!!! Bro Mbu hiyo ya kuruhusu uraia pacha umenichekesha sana lol!!!

......hahaha, #Arsenal tunaruhusu URAIA PACHA, yaani ashabikie na team mojawapo ya kibongo, i.e Simba Taifa Kubwa, Yanga 'kandambili', etc....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tutaheshimiana hapa mujibu mpaka sasa Mtakatifu Di Maria ndio mchezaji bora wa EPL.

Hahahahahaha lol!!!! Bro Mbu hiyo ya kuruhusu uraia pacha umenichekesha sana lol!!!
 
Raia pacha umeshapewa Mkuu Khe Khe kheeeeee. Kuhusu D Maria kuwa mcheza bora EPL hii si sahihi. Aliyetunukiwa uchezaji bora EPL kwa mwezi September, 2014 ni Mkenya Wanyama wa Southhampton. Angalia rekodi zako vizuri.

Tutaheshimiana hapa mujibu mpaka sasa Mtakatifu Di Maria ndio mchezaji bora wa EPL.
 
Tutaheshimiana hapa mujibu mpaka sasa Mtakatifu Di Maria ndio mchezaji bora wa EPL.

Umechemsha bro...

Raia pacha umeshapewa Mkuu Khe Khe kheeeeee. Kuhusu D Maria kuwa mcheza bora EPL hii si sahihi. Aliyetunukiwa uchezaji bora EPL kwa mwezi September, 2014 ni Mkenya Wanyama wa Southhampton. Angalia rekodi zako vizuri.

Duh lini hii imetangazwa? Nimegoogle kila mahali nimepata ile ya Diego Costa kuwa fans' player of the month.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uko sawa Mkuu kumbe ni EPL African player of the month.

Umechemsha bro...

Duh lini hii imetangazwa? Nimegoogle kila mahali nimepata ile ya Diego Costa kuwa fans' player of the month.
 
Ha ha ha BAK & Mentor tatizo lenu mnakariri mambo mengi hamjui mpira ni mawazo ya watu inategemea unavyotoa maoni una mtazamo gani ebu tupia macho hapa ndio utoe maoni si kukurupuka.

Forget Diego Costa, Angel di Maria has been the Premier League star so far | Daily Mail Online

An article by Adrian Durham..na sote tunamjua ni shabiki wa wapi!!!

Ama ulidhani hatutasoma? Ama ulidhani huwa hatusomi articles za DM?

My friend kama alichokiandika Adrian ni sahihi sana basi ningetegemea katika comments 325 (hadi leo saa 10:04) basi zaidi ya nusu zingekubaliana naye. Lakini haiko hivyo sijaona zaidi ya kumi. Ni mchezaji gani huyo ambaye Adrian pekee ndo kamuona bora halafu watu wengine.wote wapingane naye..cmon bro!!! Dont stoop tooo low.

Those were his personal views...sio general fact!

Shame on you....na usirudie!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Bulldog achana nao huyu kijana ana msongo wa mawazo kipigo cha Chelsea kimewachanganya sana hadi Wenger akataka kupigana pasipo sababu wakikutana na sisi itakuwa majanga matupu.

.......hahaha, umefufuka ee? :coffee:
Halafu nyie mashabiki 'plastic' wa Man U si majuzi tu mlikuwa mnalilia DVG awekwe bench?[/QUOTE]

weka source ya argument yako
 
Last edited by a moderator:
Waliokataa kukubalina na AD ni watu wenye roho mbaya kama wewe msiotaka kukubalina na hali halisi

Kwamba Mtakatifu Di Maria ndiye mchezaji bora kwa sasa katika EPL

Kwamba Mtakatifu Di Maria anafunga magoli na anatengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake

Kwamba Diego Costa kakuta timu iliyostahili kuchukua ubingwa mwaka jana huku ikiwa imesheheni wachezaji mahiri kazi anayofanya si kazi ya kujisifu au kusifiwa akikutana na back wazuri kama Man City hadith inabadilika kabisa.

An article by Adrian Durham..na sote tunamjua ni shabiki wa wapi!!!

Ama ulidhani hatutasoma? Ama ulidhani huwa hatusomi articles za DM?

My friend kama alichokiandika Adrian ni sahihi sana basi ningetegemea katika comments 325 (hadi leo saa 10:04) basi zaidi ya nusu zingekubaliana naye. Lakini haiko hivyo sijaona zaidi ya kumi. Ni mchezaji gani huyo ambaye Adrian pekee ndo kamuona bora halafu watu wengine.wote wapingane naye..cmon bro!!! Dont stoop tooo low.

Those were his personal views...sio general fact!

Shame on you....na usirudie!!!
 
Mkuu Bulldog achana nao huyu kijana ana msongo wa mawazo kipigo cha Chelsea kimewachanganya sana hadi Wenger akataka kupigana pasipo sababu wakikutana na sisi itakuwa majanga matupu.

Kawaida ya arsenal ni majungu tu, hawana cha maana, top four ndo ubingwa wao
 
Waliokataa kukubalina na AD ni watu wenye roho mbaya kama wewe msiotaka kukubalina na hali halisi

Kwamba Mtakatifu Di Maria ndiye mchezaji bora kwa sasa katika EPL

Kwamba Mtakatifu Di Maria anafunga magoli na anatengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake

Kwamba Diego Costa kakuta timu iliyostahili kuchukua ubingwa mwaka jana huku ikiwa imesheheni wachezaji mahiri kazi anayofanya si kazi ya kujisifu au kusifiwa akikutana na back wazuri kama Man City hadith inabadilika kabisa.

I will be waiting for him to face Man city then au..!??
 
Eden Hazard
total appearance in career 306.
total goals in career 81.
Angel Di Maria
total appearance in career 355.
total goals in career 58.

Hapo ni kabla ya msimu huu kuanza....
 
Eden Hazard
total appearance in career 306.
total goals in career 81.
Angel Di Maria
total appearance in career 355.
total goals in career 58.

Hapo ni kabla ya msimu huu kuanza....

So far Hazard ameshinda ubingwa wa France(Ligue 1) na Uropa ligi tu but
Di Maria ameshachukua
  1. Ubingwa wa Ureno
  2. La Liga
  3. Copa De Rey(2)
  4. UEFA Champions league
[h=3][/h]
 
Kule Congo wanasema baelezeeee.

So far Hazard ameshinda ubingwa wa France(Ligue 1) na Uropa ligi tu but
Di Maria ameshachukua
  1. Ubingwa wa Ureno
  2. La Liga
  3. Copa De Rey(2)
  4. UEFA Champions league
 
Haya waheshimiwa Carick kashepona anatarajiwa kuanzia bench next mechi msisahau Jones ameshaanza kukimbia chumba cha majeruhi kinazidi kupungua kila siku.
 
3551_151951881651963_1957921043_n.jpg

Haya ndio yalinikimbiza Arsenal imefika mahali hadi manager anapiga sarakasi Wacha1 uliona hizi mbwembwe za Mr Bean halafu kuna mijitu ya Arsenal bado inanilaumu kukimbia majanga ?.

Nakala: Mbu Nzi Mentor Belo proNDO BAK Balantanda TUJITEGEMEE Kitoabu Konaball mfarisayo adolay Ngongoseke
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom