Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Wakuu nawasalimia 😂😂😂
 
Vipi furaha yako Mzee Baba bado inapimika kwenye mizani? Baada ya kumkong'oli huyu mume wenu Spurs sasa nahamishia attention kwa Wanteser United, kaa mkao wa kuhudumiwa.

Salamu zangu kwa Alexis Sanchoka na Likuku a.k.a Kubwa Jinga, waambie Aubaboy na Lacagoal wamekuja kuwasabahi.
Ole ole ole
 
In Unai Emry we trust......next season ubingwa wetu msimu huu top 4 lazima ngoja tuongeze nguvu January hapo
 
Na sisi tunaoshabikia Liverpool...Zamadamu tuende Manchester City The citizen Sio...😂😂
 
Na sisi Tunaoshabikia Liverpool the red's... Tuhamie Manchester city the citizen....😂😂😂
 
Tangu ukimbilie MANU miaka 6 iliyopita mmeshashinda EPL au UEFA mara ngapi? Wakati umesuka sasa wa kuhamia Liverpool. Jifunze kuwa loyalty si kuhama hama eti tu kwa sababu timu inafungwa.

Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.

[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.

[2] Imeshindwa kutwaa kikombe chochote kwa muda mrefu sana.

[3] Arsenal imekuwa gulio la kuuza wachezaji wake mahiri kwa Club nyingine

Baada ya kutafakari kwa kinaa na bila kushawishiwa au kulazimishwa na mtu au kikundi chochote nimeamua kujiunga na Club ya Manchester United yenye kutumia uwanja Old Trafold.Zipo sababu kibao lakini nitazitaja chache.

[1] Manchester United inaongozwa na manager mwenye mafanikio makubwa kuliko makocha wote wa UK.

[2] Manchester United imechukua ubingwa wa ligi kuu ya UK mara 19,timu inayoikaribia ni Liverpool pekee yake imechukua ubingwa mar 18 tu.

[3] Manchester United inakaribia kuweka rekodi mpya kwa kuchukua ubingwa mara 20, mpaka leo hii inaongoza ligi kwa tofauti ya point 12.

[4] Ukiishabikia Mancheter United uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari ni mdogo sana.Kila wakati una kuwa ni mtu wa kucheka na kufurahia maisha duniani.

[5] Mwaka 1999 iliweka historia kwa kuchukua vikombe vitatu.Ubingwa wa ulaya.ubingwa wa Uk na Kombe la ligi.

[6] Mashabiki wa Manchester United ni wakarimu, wapole na wenye kujua kuchambua soka. Sifa hizo zinanihakikishia kwamba nitapokelewa vizuri.

Wapenzi wa Arsenal mtanisamehe sana kuhama club ni jambo la kawaida kwa mashabiki kama ilivyo kawaida kwa wachezaji. Siwezi kuendelea kusononeka hapa duniania kisa kupenda Club mbovu.

Nakala: Wacha1 Idimi Belo Steve Dii Mphamvu Dark City gfsonwin The Boss BAK Rejao Viper mfarisayo MwafrikaHalisi Kibunango Maxence Melo EMT Balantanda Mwita Maranya
 
Hili jukwaa vipi kama kuna msiba vile
 
Mpemba keshafanya yake Sisi 1 Wao 0 halftime
 
1548490104429.png


Wakuu ni hayo tu sina mengi sana kwa leo.
 
Back
Top Bottom