Nimeacha kumtumia ya matumizi mke wangu aliyeko Dar baada ya thread zenu za kumegeana huko jijini

Joel Johansen

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
242
Reaction score
320
Kwakweli lazima atakuwa kishamegwa na mnaendelea kumega, halafu mimi wa mkoani ndo nitunze??! aaah wapi.

Naona meseji zake akisema "kwahyo ndo hunitumii hela sio?!"...kumbe usikute anatype huku amekalia kitu hahahah!

Nilikuwa natuma hela kwaajili ya yake na mtoto, lakini saivi wapite kulia tu. Siwezi kulelea watu wa Dar.
 
Umefanya uamuzi wa busara sana mkuu manake hakuna namna; itabidi aongeze rate ya kumegwa ili ku-sustain maisha ya jiji!

Hata hivyo, mjini hatusemi amekalia kitu bali amekalia BOMBA ili uzidi kupata maumivu!
 
Kwakweli lazima atakuwa kishamegwa na mnaendelea kumega, halafu mimi wa mkoani ndo nitunze??! aaah wapi.

Naona meseji zake akisema "kwahyo ndo hunitumii hela sio?!"...kumbe usikute anatype huku amekalia kitu hahahah!

Nilikuwa natuma hela kwaajili ya yake na mtoto, lakini saivi wapite kulia tu. Siwezi kulelea watu wa Dar.
Ndugu yangu. Mwanamke akienda km siyo mwenye msimamo lazima amegwe tu
Tena wanaume wa dar walivyo waharibifu lazima wachimbe na mtaro kbsa.
 
Amechelewa kuchukua huu uamzi. amechelewa sana shemeji. alitakiwa ashtuke mapema
mnampoteza mwenzenu shemej kwahyo mnataka mwanamke wake agongwe tu na wanaume wengine
 
kwani unadhani akimpa ndio hatagongwa shemej?

mimi mwanamke akiniomba hela tunaachana siku hiyo hiyo.

labda niamue kumpa mwenyewe.

ila starehe zoote atapata. wekend ataenjoy anapotaka kwenda lkn akiniomba hela tu anapigwa talaka.

lakn si unanijua shemej nakushangaa unauliza jibu
 
ni mkeo au ni mchepuko?kama mkeo sidhani kama upo sahihi, kwa style hiyo subiri wenye hela zao wajilie tu.
Kama ni mkewe anapaswa kuhudumia familia aache ujinga. lkn kama ni hawala aache kabisa kuharibu pesa bora akanywe zake bia alewe alale
 
kwani unadhani akimpa ndio hatagongwa shemej?

mimi mwanamke akiniomba hela tunaachana siku hiyo hiyo.

labda niamue kumpa mwenyewe.

ila starehe zoote atapata. wekend ataenjoy anapotaka kwenda lkn akiniomba hela tu anapigwa talaka.

lakn si unanijua shemej nakushangaa unauliza jibu
haaahhah shemej wewe nakujua vzr sana wala sishangai tatizo la uyo mtu amesema ni mkewe so ni haki yake kutoa hela yaan we mtoa mada ndio mm ningekua mkeo na hela hutumi ukirudi unakuta mwanaume mwenzio ndani
 
Kama ni mkewe anapaswa kuhudumia familia aache ujinga. lkn kama ni hawala aache kabisa kuharibu pesa bora akanywe zake bia alewe alale
amesema hapo ni mkewe na mtto juu
 
Back
Top Bottom