Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 320
kwahiyo shemej alichofanya ni sawaUmefanya Uamzi wa busara
Amechelewa kuchukua huu uamzi. amechelewa sana shemeji. alitakiwa ashtuke mapemakwahiyo shemej alichofanya ni sawa
Ndugu yangu. Mwanamke akienda km siyo mwenye msimamo lazima amegwe tuKwakweli lazima atakuwa kishamegwa na mnaendelea kumega, halafu mimi wa mkoani ndo nitunze??! aaah wapi.
Naona meseji zake akisema "kwahyo ndo hunitumii hela sio?!"...kumbe usikute anatype huku amekalia kitu hahahah!
Nilikuwa natuma hela kwaajili ya yake na mtoto, lakini saivi wapite kulia tu. Siwezi kulelea watu wa Dar.
mnampoteza mwenzenu shemej kwahyo mnataka mwanamke wake agongwe tu na wanaume wengineAmechelewa kuchukua huu uamzi. amechelewa sana shemeji. alitakiwa ashtuke mapema
kwani unadhani akimpa ndio hatagongwa shemej?mnampoteza mwenzenu shemej kwahyo mnataka mwanamke wake agongwe tu na wanaume wengine
Mkuu unataka ukamate fursa?Ntumie namba yake ya simu
Kama ni mkewe anapaswa kuhudumia familia aache ujinga. lkn kama ni hawala aache kabisa kuharibu pesa bora akanywe zake bia alewe alaleni mkeo au ni mchepuko?kama mkeo sidhani kama upo sahihi, kwa style hiyo subiri wenye hela zao wajilie tu.
haaahhah shemej wewe nakujua vzr sana wala sishangai tatizo la uyo mtu amesema ni mkewe so ni haki yake kutoa hela yaan we mtoa mada ndio mm ningekua mkeo na hela hutumi ukirudi unakuta mwanaume mwenzio ndanikwani unadhani akimpa ndio hatagongwa shemej?
mimi mwanamke akiniomba hela tunaachana siku hiyo hiyo.
labda niamue kumpa mwenyewe.
ila starehe zoote atapata. wekend ataenjoy anapotaka kwenda lkn akiniomba hela tu anapigwa talaka.
lakn si unanijua shemej nakushangaa unauliza jibu
amesema hapo ni mkewe na mtto juuKama ni mkewe anapaswa kuhudumia familia aache ujinga. lkn kama ni hawala aache kabisa kuharibu pesa bora akanywe zake bia alewe alale