Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makocha wazawa sijui wanalilia kazi ili wapate jina au? sioni kipya wanacholetaNikiwa na akili zangu timamu kabisa wala sijashawishiwa na mtu yoyote yule, kwa aibu hii tuliyoipata leo toka kwa Algeria, naacha kushabikia timu ya taifa, kutiana presha sipendi tena, japo nitaonekana sio Mzalendo ila potelea mbali.