Checnoris
Senior Member
- Aug 21, 2022
- 123
- 269
Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa.
Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa una idea ya kuepukana na haya masuala!
Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa una idea ya kuepukana na haya masuala!