Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

Mimi mwanaume nawakilisha wanaume wachache wanaotoka mwambao wa pwani sisi hatulilii mapenzi kina ngosha na huko bara wanazingua sana watu wa mwambao na mapenzi huku hakuna kujinyonga watoto wote hawa mashombeshombe niyaache aisee punguzeni ushamba aisee bagosha
 
Pumzika tu usiende lakini sababu ya moja kwa moja ambayo inakuhusu ili usiende sijaielewa hapa maana umejumuisha tu.
 
Mkuu pole sana. Mimi ndani ya masaa mawili yajayo naenda kumpa taraka mke wangu niliyempenda hii dunia ina siri nyingi sana.
Yashapita masaa takribani 24 Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…