Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
jf inahitaji mabadiliko....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapime ngomaNdugu wanajamvi nimesikia uamuzi huu mkesha wasikuu wa jana nimekunywa bia takribani 15 (castle lager) KB tabata bima Aiseeee nilimpata mtoto mmoja mzuri sana anasoma chuo cha ualimu St merry lengo awe mwalimu tulikutana pale tumekunywa pamoja bia nililewa sana tumeondoka SAA 10 pale huwa kuna supu ya mbuz mda huo tumeondoka tukiwa tumepiga supu nimefika nikamgegeda mtoto wa watu nimemuachia SAA 9 mchana niliwakomalia lodge saaa 3 wanataka wanitoe nikawaambia mimi nimeingia Leo Tarehe ya Leo ntatoka kesho mpaka sasa mtoto ninae nimefikia uamuz huu baada ya kuamuka nimechoka nikikosa hamu ya chakula nakosa raza kabisa ya chakula nasema tena mie na pombe basi nimeacha Byeeee pombe kwanza unazeeeesha sikutaki.Ushauri wana JF tuacheni pombe wakuuu
Hahahaha Great ThinkerHangover ikiisha mkapime ngwengwe
HahahahaNafikiri ulichokusudia kutupasha Ni kuhusu huyo mtoto. Ujumbe umefka
2013Pombe hua haiachwi kienyeji hivyo.
Yaani unywe bia nyingi ndo uiache pombe.?!
Ungeanza kwa kupunguza idadi ya bia ndo utafikia lengo.
SIO MBAYA MKUUNdugu wanajamvi nimesikia uamuzi huu mkesha wasikuu wa jana nimekunywa bia takribani 15 (castle lager) KB tabata bima Aiseeee nilimpata mtoto mmoja mzuri sana anasoma chuo cha ualimu St merry lengo awe mwalimu tulikutana pale tumekunywa pamoja bia nililewa sana tumeondoka SAA 10 pale huwa kuna supu ya mbuz mda huo tumeondoka tukiwa tumepiga supu nimefika nikamgegeda mtoto wa watu nimemuachia SAA 9 mchana niliwakomalia lodge saaa 3 wanataka wanitoe nikawaambia mimi nimeingia Leo Tarehe ya Leo ntatoka kesho mpaka sasa mtoto ninae nimefikia uamuz huu baada ya kuamuka nimechoka nikikosa hamu ya chakula nakosa raza kabisa ya chakula nasema tena mie na pombe basi nimeacha Byeeee pombe kwanza unazeeeesha sikutaki.Ushauri wana JF tuacheni pombe wakuuu
[emoji120]2013
?Pombe haiachwi kirahisi hivo... hupumzishwa tu...
Kwema lakini mkuu[emoji120]
miss chagga mambo vipiPombe unaacha kwa kuongea na kahangover cha siku moja.. We kula supu na maji mengi flash sumu halafu kesho uje useme kitu hapa
Pouwa mkuumiss chagga mambo vipi
TehThey say,
"Behind every succesful hangover, there is promise of never drinking again"
Kheri ya pasaka mkuuPouwa mkuu
Nawe pia mkuu. Namalizia kesho mzigoKheri ya pasaka mkuu