Nimeacha pombe kupitia mkesha wa pasaka hii

Uache pombe ili uwe mchawi au nn? Pombe unapumzika tu kwa mfano ulivyokua unakesha kama sio pombe usingeweza kabisa.
Nakushauri tu punguza sio kuacha hiyo ni ngumu maana washkaji wakikuita mtakunywa pombe sio kitu kingine
 
Kapime ngoma
 
Pombe unaacha kwa kuongea na kahangover cha siku moja.. We kula supu na maji mengi flash sumu halafu kesho uje useme kitu hapa
 
SIO MBAYA MKUU
 
kuacha pombe kirahisi rahisi unafikiri ni mchezo eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…