afande kifimbo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 6,303 Reaction score 2,716 Mar 28, 2016 #61 Hapo ni papuchi tu
Aragorn son of Arathorn JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 789 Reaction score 829 Mar 28, 2016 #62 Super human said: Duh una kichwa chepesi sana 15 tu tena maji ya bia? ungekunywa Grants kubwa ungezma Click to expand... Hahahahaha daaah Castle lager 15, huyu, bradhe ni Kiboko
Super human said: Duh una kichwa chepesi sana 15 tu tena maji ya bia? ungekunywa Grants kubwa ungezma Click to expand... Hahahahaha daaah Castle lager 15, huyu, bradhe ni Kiboko
Kelvin X JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,940 Reaction score 2,401 Mar 28, 2016 #63 kunywa maji mingi meku, jioni kashtue kama litte tatu nne kesho saaafi. Tandika maji mangi iyo kitu haichwi mzee
kunywa maji mingi meku, jioni kashtue kama litte tatu nne kesho saaafi. Tandika maji mangi iyo kitu haichwi mzee
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Jul 14, 2016 #64 msomso vipi dhamiri yako bado u nayo....
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,067 Reaction score 10,393 Jul 23, 2016 #65 msomso said: Tuache wafunge kiwanda chao tumechoka figo zetu zinafanya shughuli kubwa Click to expand... Dah... Kuna watu humu wanaishi kwa uhai wa hivyo viwanda....[emoji41] [emoji41]
msomso said: Tuache wafunge kiwanda chao tumechoka figo zetu zinafanya shughuli kubwa Click to expand... Dah... Kuna watu humu wanaishi kwa uhai wa hivyo viwanda....[emoji41] [emoji41]