Nimeacha pombe

Nimeacha pombe

Mwaka wa tatu sio? Sishangai coz tangu vyuma vianze kukaza huu Ni mwaka wa 3 na bado miaka 7
 
Hayo ni maamuzi mazuri sana, na pongezi sana kwa mafanikio hayo ulio yapata kwa kuacha pombe jamaaaa
 
Dah...ajabu sana....awamu hii nyumba za ibada zinajaa sana....watakatifu wanaongezeka....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hayo ni maamuzi mazuri sana, na pongezi sana kwa mafanikio hayo ulio yapata kwa kuacha pombe jamaaaa
Itabidi afanyiwe party ya kuacha pombe, vinywaji vikali na baridi viwepo ili kuhakiki kauli yake hiyo ya kuachana na pombe😀😀😀

Hahahaaa nampongeza kwa dhati kabisa lakini
 
Na mm nilikuaga mwenyekiti huku Arusha nisha acha ni miaka tano sasa, Asante Mungu
 
Back
Top Bottom