Nimeacha rasmi kuishabikia Yanga SC

Bila shaka kwa sasa utakua unakula tu Biriani na mashabiki wenzako wa mbumbumbu fc! Hukuwahi kuwa shabiki wa Yanga wewe! Ushabiki ni zaidi ya madawa ya kulevya. Huwezi kuacha kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…