Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!


Heee...Iron 2012 mie nilidhani we mwanamke mbona hoja zako zinanifanya nifikirie vinginevyo??

Back to the Topic.....
Yawezekana tukamuona Erotica wa ajabu na katumika sana kwasababu hao wengine hawaweki wazi CV zao...Laiti ingekuwa ni sabuni nadhani wengine wangekuwa wanatumia magadi sasa maana ingeshakwisha siku nyingi...Kuna watu wana CV za kutisha.....
 

Kaunga my love only you understand me, and only you could understand Elbert Hubbard with his

[Do not take life too seriously - you will never get out of it alive]. maisha siku zote ni mazuri kwangu

yale ambayo yanayo to offer nakwapua bila hiyana. of coz bado nitakuwa na wewe each step kuhakikisha end

result ni kiwango. I neva seto for less. I am Erotica, everyting i want and which sorrounds

me has to be Erotic. My marriage will be Erotic. u & I ar goin to make sure! mwaaaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
mb** yako huwa inapungua ukubwa kila ufanyapo? kama ndio then kweli nipo used!

watu tunafanya mambo kwa malengo sio tu vitu vinavo husu pesa, hata vinavohusu SEX.
Chochote kinachoweza kutumiwa kuna wakati kinakua used!
 


hili ndilo watu hawatambui, ama wanatambua ila wanaogopa kukubali ukweli.
 
Chochote kinachoweza kutumiwa kuna wakati kinakua used!



kama unaelewa hilo cha ajabu nini? maana ukishatolewa bk siku ya kwanza tayari wewe used.
 
Miaka 20 umepitiwa na wanaume 29..Napiga hesabu tu....Tuseme ulipofikisha mwaka 1 ukaanza mapenzi na mpenzi wako wa kwanza.........kimahesabu ukigawanya wanaume 29 kwa miaka 20 ina maana kila mwaka unakuwa na mahusiano na mwanaume mmoja na robo tatu!!!

Tuache hilo...tuseme ulianza kungonoka ukiwa na miaka 14....ukigawa kwa miaka yako ishirini inakuwa kila mwaka unakuwa na mahusiano na wanaume 2.07.

Nafikiri ulikuwa hupati mwanaume wa kukufaa kwa sababu uliokuwa unawapenda sana ni hao wanaume robo tatu na .07 n.k. Ni mtazamo tu
 
Poa Mkuu inyi ngimcha kapisa monowama....usiwe unapotea hivyo...


Back to the topic
Erotica
kajitahidi kuwa mkweli na kama umekubaliana na ukweli wake na kama CV yake imekuvutia ipe roho kitu inapenda mwanawani
Mangi si unajua tumeingia kati kati ya mwaka nasaka heleri za christmas kaka..ni juz tu nimeanza kazi mpya so watu watakua wanatarajia mambo mazuri zaidi ya zamani! Cha..na mimi nataka nitemewe mate aisee...ila sitapotea saaana, kidogo tu mangi!
moyo wa smile unautupa? au ndio yale she is not the one?
Erotica..apa nimeona wengi walionivutia na niliowavutia..ila mambo ya kubembeleza mi nshasahau tangu enzi zilee za ujana wangu...sasa Smile (huyu nadhani ni mwanafunzi kama sijakosea) anawafaa wanafunzi wenzie maana naona kazidisha pozi.... nilimwomba hadi..wait..it was u..but naona umeshindwa..ka vipi tuwe sote tu na ile ndoto ya kufanya community development projects tuiendeleze au!??
 
Last edited by a moderator:



hehehehe platozoom sijasoma post yako. hebu rekebisha huo utambuzi

wako. nimesema nilipofika miaka 20. sipo 20. soma uelewe then nipe maushauri.
 
Last edited by a moderator:


hapo upo sawa, tubaki tu na ndoto yetu. hata mm nishaona sie wote vimeo kuwa pamoja.
 
wengine wanapenda kuelezewa ya zamani na wengine hawataki hata kujua labda issue ya 29 ikamsthua bora akae pembeni :A S 12:


itabidi niwe makini kweli kweli. ila ishu ya wapenzi 29 naona nisiweke siri bora niseme

mapema. ila nitasema ni 19. sbb nikimwambia 29 atadhani nimepnguza. teh teh
 
Me nimehamasika sana na huwa kuwa associated na wewe kwa akili zangu ila MOYO hautaki kabisa ila nilipojaribu kuuchunguza moyo wangu nikagundua issue ni hizo STICK 29 ambozo tayori zimeshakupitia ndo znatia ukakasi moyo wangu..Sasa una ladha yoyote kweli?? na je hisia bado zipo? nitaweza kuleta jipya lolote??Aaaahhh count me out kwakweli
 
hahahahahah Eroticaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh!!!!
umenivunja mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…