Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah Ndahani ndoa ipi tunaongelea?
Kumbe wewe unataka kuwa namba 30 mie thimo hebu ngoja niende zangu home nikacheki watoto kama wamekula..
I wanna chop my monieee *2
I dont care *2
Kaunga asante sana kwa upendo wako! Nilipo mwabia naona anamtaja Elbert Hubbard, na wakati huo huo anazidi kufungua milango kwa wengine. Tena 29 tu so proud to be the last but mostly waited for. Nampenda I mean it just nachukia kwamba kazoea sana chit chat za cyber love anateleza kweli! Sleep well!Hi love, nikupe hongera kwa kufanya mabadiliko makubwa. As always l am here to support you in anythhing, you just name it.
Kwa vile ni mtu unayesimamia maamuzi yako, nina uhakika utashinda; na utapata mtu mwenye mapenzi ya dhati ilmradi nawe uwe tayari kupenda. Paxman alikuwa analilia pendo lako ujue, na kuonesha how torelant he is akakubali masharti yote il mradi awe karibu nawe, remember?
BTW l did miss you a lot, hadi nikataka kutafuta kwa thread.
Napenda pia signature yako mpya.
BADILI TABIA ushapona au unanidai pesa za matibabu?hahahahahah Eroticaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh!!!!
umenivunja mbavu
Me nimehamasika sana na huwa kuwa associated na wewe kwa akili zangu ila MOYO hautaki kabisa ila nilipojaribu kuuchunguza moyo wangu nikagundua issue ni hizo STICK 29 ambozo tayori zimeshakupitia ndo znatia ukakasi moyo wangu..Sasa una ladha yoyote kweli?? na je hisia bado zipo? nitaweza kuleta jipya lolote??Aaaahhh count me out kwakweli
Kwani nimeshangaa?Ninajua kua unakua used but how used u will be?Barabara iliyopitwa na watu wa5 ni tofauti na iliyopitwa na 20 people!
hahahah Erotica unavituko sana kwa hiyo sasa graph inachezea 29...............30 husband ..
all the best..kweli mama naona List ni ndefu sana shost ..katika hao hakuna hata mmoja unayetamani angekuwa husband wako?
"Aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe"
Imeandikwa Luka 5:32 "Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu."
Imeandikwa, Luka 15:7 "Na waambia vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye kuliko ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu."Kila la heri mamie, kama umeamua kwa moyo mmoja tubu na Mungu atakusamehe achana na binadamu ambaye anajiona yeye ni msafi kumbe ni mchafu hata kuliko wewe... bwana Yesu akupe nguvu katika uliombalo Erotica
Ulipaswa kusema umeacha uhuni, maana utaendelea na sex ukibahatika kuolewa.
ila nikukumbushe tu kuwa unaweza kubadili nia lakini huwezi kuubadili moyo wako.
Natumaini umebadili nia na kumkubali Mungu ili ataubadili moyo wako usirudie tena ulikotoka.
Erotica najua kama unamaanisha Mungu atakupatia haja ya moyo wako.
Nina ombi.
Naomba kuwa matron wako siku wewe na kidume cha 30 mkifunga ndoa.
Nikiwa matron wako nitahahakikisha tunakwenda bible studies pamoja,moja ya zawadi nitakazokupatia ni Biblia ya kiswahili na ya kiingereza.
Nitahakikisha unakuwa praise and worship leader na utajiunga kwenye kikundi chetu cha maombi.
Kwa kifupi kwa maombi ya kufunga na kusugua goti nitahakikisha erotica huyu atapita na tazama atakuwa mpya.
Je nitakua Matron?
I see umewapanga yaani mipini 29 imeingia huko kwako
hii ni over used i see na huna hata mtoto wa kusingiziwa pole yako
naamini umekutana na kila aina ya mipini mirefu mifupi minene vipisi n.k
hapo kizazi kimevurugwa mpaka kimelegea wahi hospital ukajicheck
check na afya kabisa uanze kuishi kwa matumaini mapema.
Mh ajabu, mtu unajiproud kuwa mdoaji.
.
"THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN".
Kaunga asante sana kwa upendo wako! Nilipo mwabia naona anamtaja Elbert Hubbard, na wakati huo huo anazidi kufungua milango kwa wengine. Tena 29 tu so proud to be the last but mostly waited for. Nampenda I mean it just nachukia kwamba kazoea sana chit chat za cyber love anateleza kweli! Sleep well!