Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!

OKOKA SERIOUSLy! ACHA ZINAA. MUNGU ATAKUREHEMU. ATAKUPA MUME MWEMA. MH! ILA HISTORIA YAKO YA MAPENZI INATISHA!
 
kama unaelewa hilo cha ajabu nini? maana ukishatolewa bk siku ya kwanza tayari wewe used.

Kwani nimeshangaa?Ninajua kua unakua used but how used u will be?Barabara iliyopitwa na watu wa5 ni tofauti na iliyopitwa na 20 people!
 
Mh ajabu, mtu unajiproud kuwa mdoaji.
.
"THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN".
 
itabidi niwe makini kweli kweli. ila ishu ya wapenzi 29 naona nisiweke siri bora niseme

mapema. ila nitasema ni 19. sbb nikimwambia 29 atadhani nimepnguza. teh teh

anatakiwa awe na kifua...... kama unamweleza ukweli mpe namba kamili .....ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu isije siku ukanogewa na maswali ukabadili namba ikampa wasiwasi kwamba huna idadi kamili lol
 
hapo upo sawa, tubaki tu na ndoto yetu. hata mm nishaona sie wote vimeo kuwa pamoja.

Maana yake umening'ata na kupuliza...!! hayawe...
atleast i can settle for that...bado nangojea PM ya hiyo pia...kuanzia next wik nitakuwa free for a new project!!!
 
hahahah Erotica unavituko sana kwa hiyo sasa graph inachezea 29...............30 husband ..
all the best..kweli mama naona List ni ndefu sana shost ..katika hao hakuna hata mmoja unayetamani angekuwa husband wako?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani lengo lake ni kutimiza 29, na siyo ku-do mara 29, akitamani itabidi arudi kwa mmoja wa wale wa past ili bado acheze kwenye 29............................
kila la heri kwa lengo lako
 
"Aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe"
Imeandikwa Luka 5:32 "Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu."
Imeandikwa, Luka 15:7 "Na waambia vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye kuliko ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu."Kila la heri mamie, kama umeamua kwa moyo mmoja tubu na Mungu atakusamehe achana na binadamu ambaye anajiona yeye ni msafi kumbe ni mchafu hata kuliko wewe... bwana Yesu akupe nguvu katika uliombalo Erotica
 
Last edited by a moderator:
Nataka mwanaume ambaye hana viporo. ambaye anamtaka Erotica tu!

nenda kwanza kamalizane na huyo ambae bado expiry haijaisha, then tutaongea!

Thanx Erotica, ngoja nikamalizane nae fasta, hata mimi sitaki kubaki na viporo nataka nikiwa na wewe basi ni wewe pekee.
 
hahah Erotica mwambie Ndahani akuonyeshe certificate ya ndoa hata mie amenitenda ujue

Certificate ya ndoa ya nini tena? Siku hizi matumizi yake makubwa ni kutunza amani ndani ya nyumba. Ina maana kuonyesha kuwa hutaki matani na mtu when it comes to family at home. Au nimekosea?
FirstLady1, umeamua kuikana ndoa yako leo au siku ile ulisema kwa kukosea?
 
Last edited by a moderator:

Ulipaswa kusema umeacha uhuni, maana utaendelea na sex ukibahatika kuolewa.
ila nikukumbushe tu kuwa unaweza kubadili nia lakini huwezi kuubadili moyo wako.
Natumaini umebadili nia na kumkubali Mungu ili ataubadili moyo wako usirudie tena ulikotoka.
 
Erotica najua kama unamaanisha Mungu atakupatia haja ya moyo wako.

Nina ombi.
Naomba kuwa matron wako siku wewe na kidume cha 30 mkifunga ndoa.
Nikiwa matron wako nitahahakikisha tunakwenda bible studies pamoja,moja ya zawadi nitakazokupatia ni Biblia ya kiswahili na ya kiingereza.
Nitahakikisha unakuwa praise and worship leader na utajiunga kwenye kikundi chetu cha maombi.
Kwa kifupi kwa maombi ya kufunga na kusugua goti nitahakikisha erotica huyu atapita na tazama atakuwa mpya.

Je nitakua Matron?
 
Last edited by a moderator:


hahahah Ndahani ndoa ipi tunaongelea?
Kumbe wewe unataka kuwa namba 30 mie thimo hebu ngoja niende zangu home nikacheki watoto kama wamekula..

I wanna chop my monieee *2
I don't care *2
 
Last edited by a moderator:
Umeichakaza weeee...imetumika hasa ikachoka...Kisha unataka mwanaume unayempa hadhi ya 'mume' 'baba watoto' ale makombo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…