Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!

Erotica,

29 of different sizes, pressure and temperature! You need to rest atleast for a year while planning ur future life. It sounds you want to taste the 3o in husbandry stile.
Take long leave of atleast a year and this will be your key KPI
 
I see umewapanga yaani mipini 29 imeingia huko kwako
hii ni over used i see na huna hata mtoto wa kusingiziwa pole yako
naamini umekutana na kila aina ya mipini mirefu mifupi minene vipisi n.k
hapo kizazi kimevurugwa mpaka kimelegea wahi hospital ukajicheck
check na afya kabisa uanze kuishi kwa matumaini mapema.
 
hahahah Ndahani ndoa ipi tunaongelea?
Kumbe wewe unataka kuwa namba 30 mie thimo hebu ngoja niende zangu home nikacheki watoto kama wamekula..

I wanna chop my monieee *2
I don’t care *2

Thubutu yake...no 30, ili iweje???!!
Lakini you have said it well....Sometimes what you want isn't always what you get, but in the end what you get is so much better than what you wanted.


Ina maana watoto without a wedlock? Au umeteleza ulimi au vile vile uko sahihi. Vyovyote vile malezi mema kwa watoto
 
Kaunga asante sana kwa upendo wako! Nilipo mwabia naona anamtaja Elbert Hubbard, na wakati huo huo anazidi kufungua milango kwa wengine. Tena 29 tu so proud to be the last but mostly waited for. Nampenda I mean it just nachukia kwamba kazoea sana chit chat za cyber love anateleza kweli! Sleep well!
 



teh teh teh.
 
OKOKA SERIOUSLy! ACHA ZINAA. MUNGU ATAKUREHEMU. ATAKUPA MUME MWEMA. MH! ILA HISTORIA YAKO YA MAPENZI INATISHA!


wewe umeoa ama kuolewa? am curious huna mupenzi? au unadani ukiwa naye mmoja huyo huyo sio zinaa?
 
Kwani nimeshangaa?Ninajua kua unakua used but how used u will be?Barabara iliyopitwa na watu wa5 ni tofauti na iliyopitwa na 20 people!


wewe si umezoea bara bara zenu hizi za JK zinatengenezwa na mchina?

Ero kitu orijino. bara bara yangu imara hijalishi ipite semitrela au baiskeli hata kwa mda gani!
 
anatakiwa awe na kifua...... kama unamweleza ukweli mpe namba kamili .....ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu isije siku ukanogewa na maswali ukabadili namba ikampa wasiwasi kwamba huna idadi kamili lol


teh teh teh
 
Maana yake umening'ata na kupuliza...!! hayawe...
atleast i can settle for that...bado nangojea PM ya hiyo pia...kuanzia next wik nitakuwa free for a new project!!!

Mentor nimeng'ata na kupuliza tena? si sote tumekubaliana ni muafaka afiki? teh teh.
 
Last edited by a moderator:
hahahah Erotica unavituko sana kwa hiyo sasa graph inachezea 29...............30 husband ..
all the best..kweli mama naona List ni ndefu sana shost ..katika hao hakuna hata mmoja unayetamani angekuwa husband wako?


sijui kabisa FirstLady1. mie nilikuwa naangalia kigezo kimoja tu!

hicho kigezo ni minor kupima kama anafaa kuwa mume. teh teh teh.
 


LIKE.. LIKE.. LIKE. Charminggirl nitaku like kesho hii post ya ukweli. sante.
 
Last edited by a moderator:
Ulipaswa kusema umeacha uhuni, maana utaendelea na sex ukibahatika kuolewa.
ila nikukumbushe tu kuwa unaweza kubadili nia lakini huwezi kuubadili moyo wako.
Natumaini umebadili nia na kumkubali Mungu ili ataubadili moyo wako usirudie tena ulikotoka.


warea hivi kumbe unaitwa uhuni eeh? i see... maombi yako ya zaidi yatahitajika.
 
Last edited by a moderator:


LIKE.. LIKE.. LIKE. Hii imepita bila kipingamizi queenkami. nitaomba ushauri kwa
Kaunga bt nina imani nae atakuona powa. mwaaaaaah! matroni wangu.
 
Last edited by a moderator:
Umeichakaza weeee...imetumika hasa ikachoka...Kisha unataka mwanaume unayempa hadhi ya 'mume' 'baba watoto' ale makombo!

Riwa usiogope. iko katika hali nzuri kabisa. teh teh teh.

huyo baba watoto ale makombo kivipi? kwani vinabaki huko huko?
 
Last edited by a moderator:


Ki afya niko fit. ulikimbia somo la baoloji? nani alikuambia kizazi kinalegea?
 

Paxman you kyut and sweet guy. sikukutaja makusudi kwa Kaunga.

nilitaka nije nione msimamo wako kwanza na u kno i can no beg eeh?

nimekuudhi dear? ar u mad at me? how can i sleep sasa? mweeee.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…