Nimeacha SEX! Eeeeh Ero jipe nguvu ushinde!

Paxman you kyut and sweet guy. sikukutaja makusudi kwa Kaunga.

nilitaka nije nione msimamo wako kwanza na u kno i can no beg eeh?

nimekuudhi dear? ar u mad at me? how can i sleep sasa? mweeee.
Unachotakiwa kujua I am your husband to be. Hujaniudhi mpenzi wangu pole sana kama moyo wangu umeumia kwa kuamini pengine nimeudhika. Unataka kujua furaha yangu imetoka wapi? kwa nini usipate usingizi darling? I know I am luck to have you. I never cared about 29 even if were 1000 just I care your love to me and the change you have undergone implies that you belonged to me. I love you so much Erotica... Relax with me.... term me as Mweupe wa Roho!
 
Last edited by a moderator:


me LOVE.. LOVE.. LOVE.. the post. sweet and kyut paxie let us rest and

talk tomorrow. I am suffocated with so much feelings. mmmmh. mwaaaaaah.
 
We badao kabisa ndo umefika 29 tu yaani ulikua unawabania watoto wa wanawake wenzio kiasi hicho
mtoto una roho mbaya kama wauza duka la sumu endelea mpaka ufikia angalau sitini na nne
mumeo awe wa sitini na tano, hapo ndo utakua umetulia kabisa.
 
Kwanza hongera mdada kwa kuamua kubadili life style na kutafuta mwenza wa kweli kuishi nae kama mume na mke. Kuwa na wanaume 29 zamani sio tatizo ubwa sana kwa mwanaume ambaye nae yupo serious kwaajili ya kufanya future na wewe, kwanza itakuwa ni advantage kwake maana haitakuwa rahisi kwa wanaume wengine kukudanganya kama mkiishi pa1. Mara nyingi huwa napenda sana misimamo na uwazi wako katika kuelezea kile unachoamini ni ukweli na unachohitaji ktk mapenzi. Nakutakia mafanikio mema kwenye utafutaji wako na nakuombea umpate yule mwenye sifa uzitakazo ili asikufanye urudie kule kule kwa zamani.
 
We badao kabisa ndo umefika 29 tu yaani ulikua unawabania watoto wa wanawake wenzio kiasi hicho
mtoto una roho mbaya kama wauza duka la sumu endelea mpaka ufikia angalau sitini na nne
mumeo awe wa sitini na tano, hapo ndo utakua umetulia kabisa.



teh teh teh.
 




hii ndio post pekee ilionigusa. iliyo na nia kabisa ya kunisaidia kimawazo. sante majorbuyoya.
 
Last edited by a moderator:
tungekua kuku kile cha juu ya kichwa chako kingekua kimeisha kwa kung'atwa na majogoo haa 29 yani timu 2 na makocha wao wote wakutafune unatisha bibie pumzika tu hata kuoa hutafaa tena
 
dada huyooooo,anaolewa,dada huyooo anaolewa,mahaaali ishato.....
 
Nakutakia mafanikio kwenye lengo lako mdada, usije kengeuka tena.
 

Ni kweli kabisa unachosema. Lakini, check tena kwny:

RED: Hiii pekee labda ndio uitumie kwenye mabadiliko yako kwa sababu "ilikuwa utoto tu" na sasa umekwisha so umekuwa mkubwa

BLUE: When sex becomes fashion na sio kitu unachofanya na umpendae ni vigumu sana kuacha fashio eg: mm mpaka leo naona movie z action ndio fashion (Sipendi sana movie zisizo na action)

GREEN: Kuna thread moja humu JF inaongelea mambo haya kuwa siku hizi yamerahisishwa sana (na wote wanaume na wanawake). Mimi ninaamini kuwa hii kitu si ya kufanya kisanii, ndio maana mpaka leo najiuliza wale watu wanao-act zile mov z kikubwa wanawezaje? Hii kitu nkitaka ku-enjoy ni lazima nijiweke psychologically fit otherwise siwezi kabisa. Eg; demu akini-bore nashindwa kabisa!

Create something like that,kuona lazima ufanye sex/umpe mali zako mtu unaye MPENDA-LOVE. Nakutakia mabadiliko mema!
 
Duh!! hata na mimi nimeacha sasa!! Huyu wa 69 anatosha maana nilisema nikifika 70 atakuwa mke wangu..sasa Ero i think si mbaya kama tukianza moja mimi na wewe ...Born again, tupendane mpaka futi sita chini..
 
Nikuulize swali dada Erotica, kwa kawaida mwanamke akifikisha umri wa miaka 28 huwa amedu na wanaume wangapi? wastani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…