Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 224
Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
amina Bwana awe nawe!Tumsifu Yesu Kristu sister!
nina miongo mitatu na roboThatha. .. Umri inakuaje?
Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
wacha majelous wewe,acha kumpeperushia sister ndege wakeWana Chitchat naomba kwa heshima na taadhima kuweni makini na watu wa namna hii.Nia na madhumuni yao ni kuvuruga uso na taswira nzima ya jukwaa la CC. Wengi wanajifanya kuja hapa na kutangaza ndoa na baada ya hapo hupotea. Hawa ninaamini kabisa ndio walewale wanaoanzisha mada kuwa kilichopo Chitchat ni kuoa na kuolewa, na tuliopo huku ni mambulula.Mwenye masikio na asikie neno watu8 anenalo na wana jamvi wenzake.Ni mimi tu, ni mimi tu kuwaletea habari!!!NOTE:Hawa ndio kina Lusile, old vampire, kuna mwingine jana allikuja anajiita sijui mahipsi ya kichina
wacha majelous wewe,acha kumpeperushia sister ndege wake
Tumsifu Yesu Kristu sister!
bahati nzuri huwa sipo jelous
kabisa...kama yupo serious in a first place alitakiwa aweke post yake
kule Love Connect.
huku hawa watu wanakuja kuzingua watu tu na ndio maana huwezi nikuta
nahangaika nao...
Hapa nikae mbali kabisa.