Nimeacha usister niolewe na mwanajamiii yoyote

Nimeacha usister niolewe na mwanajamiii yoyote

Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki

are you serious sister??????????i cant believe this nini kimepelekea hayo maamuzi nidadavulie ila kama ni ya aibu ni PM tu
 
Wana Chitchat naomba kwa heshima na taadhima kuweni makini na watu wa namna hii.
Nia na madhumuni yao ni kuvuruga uso na taswira nzima ya jukwaa la CC. Wengi wanajifanya kuja hapa na kutangaza ndoa na baada ya hapo hupotea. Hawa ninaamini kabisa ndio walewale wanaoanzisha mada kuwa kilichopo Chitchat ni kuoa na kuolewa, na tuliopo huku ni mambulula.
Mwenye masikio na asikie neno watu8 anenalo na wana jamvi wenzake.
Ni mimi tu, ni mimi tu kuwaletea habari!!!

NOTE:
Hawa ndio kina Lusile, old vampire, kuna mwingine jana allikuja anajiita sijui mahipsi ya kichina
 
Wana Chitchat naomba kwa heshima na taadhima kuweni makini na watu wa namna hii.Nia na madhumuni yao ni kuvuruga uso na taswira nzima ya jukwaa la CC. Wengi wanajifanya kuja hapa na kutangaza ndoa na baada ya hapo hupotea. Hawa ninaamini kabisa ndio walewale wanaoanzisha mada kuwa kilichopo Chitchat ni kuoa na kuolewa, na tuliopo huku ni mambulula.Mwenye masikio na asikie neno watu8 anenalo na wana jamvi wenzake.Ni mimi tu, ni mimi tu kuwaletea habari!!!NOTE:Hawa ndio kina Lusile, old vampire, kuna mwingine jana allikuja anajiita sijui mahipsi ya kichina
wacha majelous wewe,acha kumpeperushia sister ndege wake
 
wacha majelous wewe,acha kumpeperushia sister ndege wake

bahati nzuri huwa sipo jelous kabisa...kama yupo serious in a first place alitakiwa aweke post yake kule Love Connect.
huku hawa watu wanakuja kuzingua watu tu na ndio maana huwezi nikuta nahangaika nao...
 
bahati nzuri huwa sipo jelous
kabisa...kama yupo serious in a first place alitakiwa aweke post yake
kule Love Connect.
huku hawa watu wanakuja kuzingua watu tu na ndio maana huwezi nikuta
nahangaika nao...

Inawezekana anataka ndoa ya ki chit chat ndio maana akaja huku.
 
Back
Top Bottom