Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
bahati nzuri huwa sipo jelous kabisa...kama yupo serious in a first place alitakiwa aweke post yake kule Love Connect.
huku hawa watu wanakuja kuzingua watu tu na ndio maana huwezi nikuta nahangaika nao...
wewe au mwingine.changamkia tenda hiyo ya sista
ni mimi ndio, unasemaje? Erickb52 njoo huku Zion Daughter kanitumia PM anasema anakupenda sana ila anashindwa jinsi ya kukuanza.
Kampeni zinaendelea ee!!
nivea, you are a genious!
Mwambie ex sis ani PM.
are you serious sister??????????i cant believe this nini kimepelekea hayo maamuzi nidadavulie ila kama ni ya aibu ni PM tu
ni mimi ndio, unasemaje? Erickb52 njoo huku Zion Daughter kanitumia PM anasema anakupenda sana ila anashindwa jinsi ya kukuanza.
Halafu wewe nakuangalia tu..shauri yako.ban utakayopata tusilaumiane
Unanitishia Ban? izo ni changa moto tu.. Nitamkuta Baba V kwenye server amepumzika
aha ha ha..kibaka mzoefu utamjua tu