Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
bahati nzuri huwa sipo jelous kabisa...kama yupo serious in a first place alitakiwa aweke post yake kule Love Connect.
huku hawa watu wanakuja kuzingua watu tu na ndio maana huwezi nikuta nahangaika nao...
Love connect kwenyewe kumevamiwa..watu wanatafuta mijimama ya kuwalea na mambo kibao ya ajabu..ilimradi sio shwari tena..