Nimeacha usister niolewe na mwanajamiii yoyote

tena a mwogope mungu na kumpenda mambo ya kimungu sio siasa.
 

Attachments

  • Loliondo1.jpg
    161.2 KB · Views: 48
Japo naamini wewe sio sister, lakini nimeshuhudia sister aliacha usister akaingia mtaani loooo yaani ilikuwa balaa, alikuwa hakati uume wa aina yoyote, alikuwa mroho wa kufanya mapenzi kama vile analipizia alivyopoteza muda wa kufanya hiyo kitu, alibahatika kuzaa mtoto mmoja na mwanachuo wetu, akawa kila baada ya muda mnasikia sister mimba ya miezi mitano imetoka mara mine mara sita mara saba yaani akawa kama mwehu, halafu akawa ni mgomvi kule cafeteria haelewani na staff wenzio taabu tupu, mfyuuuuuuuuuuu, puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…