mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 874
una haki ya kutoka u-sister.........ulitakiwa ujibu MILELE AMINAamina Bwana awe nawe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una haki ya kutoka u-sister.........ulitakiwa ujibu MILELE AMINAamina Bwana awe nawe!
Ma Sister wanayaweza hata kabla ya kuvua uniform a.k.a gwandaNaja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
aah... Wewe hapa unatakiwa kulog out shem... Ur already taken bana....
Alaa unataka kuolewa.?
Nalog on!!
hahaha Mamndenyi huyo sister fatilia nyendo zake harakakabla mr Vin Diesel hajakuponyoka mikononi mwako
Naja kwenu wanajamiimnipokeeee mimi mjakazi wenuchini ya miguu yenu mimi nalianiwekeeni mikono yenumnibariki
Jibu hili linaonesha HUJAWAHI kuwa catholic nun na wala SI MKATOLIKI.amina Bwana awe nawe!
Tumsifu Yesu Kristu sister!
Hapa inaonyesha wewe sio katoliki na wala huujui ukatoliki, huwa hawaitikii hivyo, shame upon you!amina Bwana awe nawe!