Nimeacha uzinzi, hela ya gesti nawekeza VICOBA!

Acha usaliti wewe!
 
Afadhali, hawaishi hawa mkuu, sana sana wewe ndio utakaeisha kwa huo uzinzi. Unaweza kutudokeza tokea umeanza mpaka ulipoishia wameshafika wangapi.....
 
Ni fundisho kwa wanaofanya hivyo, nakushauri pima afya yako vizuri, kama uko poa, oa na utulie
 
saw
sawa mkuu , ila kuna watu wamenituma, wanasema eti...........................kwambaaa....uniachie namba za hao michepuko niwapeleke eti
 
Una akili kiasi chake ila nakushangaa ulikuwa unalipa Guest muda wote huo kwani uishipo hakuna mapori ya kupeleka hao wadangaji? Utampelekaje mdangaji Guest wakati hastahili hata kitanda cha thamani? Demu mdangaji unampeleka porini tu analalia majani, unamsugua kisawasawa kisha mnaachana huko huko porini, unampa buku jero lake achukue baiskeli au boda boda arudi mjini.
 
Nani anataka kupigwa picha
 
Kukimbia starahe sababu ya kufanya savings ni ulofa wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…