Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Acha usaliti wewe!Ndugu zangu nimeacha rasmi Uzinzi kuhangaika na Mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya Uzinzi Zaid ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID. Pesa ya kulipia gesti na Pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.