Nimeachana na Baby Madaha baada ya kumpenda kwa muda mrefu

Nimeachana na Baby Madaha baada ya kumpenda kwa muda mrefu

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Nimekuwa shabiki mkubwa wa Baby Madaha lakini nimeacha kumshabikia kwani kwa heshima aliyonayo hakutakiwa kumkejeli Shilole.
 
kwasababu wampenda shilole eeh?
amempondaje? tupe kidogo
 
Una kazi aisee.......

halafu hiyo style yako ya uandishi ka kina shigongo vile
 
Baby madaha yupo vizuri sana sema mashetan yanamsumbua tu
 
Baby madah aliulizwa kwann ana bifu na shilole akajibu kwa nyodo "hicho kisanii kipo level za chini me nipo juu"
 
Nijuavyo mim madah hana hit song yoyote wakati shilole "nakomaa na jiji" ndo habar ya mujini sasa ukubwa wake uko wapi?
 
Baby madaha hana hit singo?! Si kweli ndugu,kuna kitu cha Amore kila kamata anga mby miaka juz juz tu hapa. Sema tatizo wote ni ma mburula ila wanajifanya wajanja wa mji.
 
Baby madaha hana hit singo?! Si kweli ndugu,kuna kitu cha Amore kila kamata anga mby miaka juz juz tu hapa. Sema tatizo wote ni ma mburula ila wanajifanya wajanja wa mji.

hapa kwenyewe leo nimetoka kuisikiliza sema tatizo u mjini unawaathiri sana wasanii wetu wa bongo,mbele bifu zao huwa wanazitumia kupata hela na kukuzia jina huku kwetu zipo so local
 
Inaonekana jacjaz upo nyuma sana mbona huo wimbo amore mbona wa kitambo? hana new hit song baby madaha
 
Back
Top Bottom