Juma WALEO
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 204
- 40
Ulivyoona tuu eti ameachana na baby madaha we ulijua jamaa yake nini ndio maana fasta ukaifungua?Una kazi aisee.......
halafu hiyo style yako ya uandishi ka kina shigongo vile
Ulivyoona tuu eti ameachana na baby madaha we ulijua jamaa yake nini ndio maana fasta ukaifungua?
Baby madaha hana hit singo?! Si kweli ndugu,kuna kitu cha Amore kila kamata anga mby miaka juz juz tu hapa. Sema tatizo wote ni ma mburula ila wanajifanya wajanja wa mji.