Wakuu napitia wakat mgumu sana,hapa nimejifungia ndani mawazo lukuki
Mwez uliopita mchepuko niliodumu nao kwa karibu miez6 umeniacha sabab ya mimi kuendelea na mahusiano na baby mama wangu,naupenda sana mchepuko.
Sio kesi nikarudisha majeshi kwa baby mama,
Sasa baby mama sabab ya changamoto nyingi tulizonazo nae kaniacha jana aiseee
Hapa kichwa kinauma ,aisee maumivu ni makali mno,
Nipeni mbinu za kuwa bora tena,